Orodha ya wasanii 10 wakali zaidi Nigeria mwaka 2015 Iko hapa,Mtv#BaseNaijaHottestArtist

Siku moja kabla ya orodha hii kutoka taarifa zilisamba kuwa msanii wa Mavin Records Korede Bello na mwimbaji Yemi Alade wametajwa kuwepo tayari kwenye orodha ya MTV #BaseNaijaHottestArtist, inayoangali wasanii kumi wakali zaidi Nigeria kila mwaka.

Korede kawekwa namba mbili kutokana na mafanikio ya wimbo wake “Godwin” na collabo aliyopewa na Asa kwenye “Somebody Great”, Mwimbaji wa Afropop Yemi Alade kawekwa namba tatu.

Hii ndio orodha kamili

1] Olamide
2] Wizkid
3] Davido
4] Patoranking
5] Yemi Alade
6] Korede Bello
7] Kiss Daniel
8] Burna Boy
9] Lil Kesh
10] Phyno

1 mtv 2 mtv 3 mtv

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s