Raisi Obama asema wimbo wa Kendrick Lamar ‘How Much A Dollar Cost’ ndio wimbo alioupenda zaidi mwaka 2015

Raisi wa Marekani, Barack Obama amesema wimbo wa Kendrick Lamar ‘How Much A Dollar Cost’ ndio wimbo alioupenda zaidi 2015.

Kendrick Lamar anamaliza mwaka 2015 huku album yake  To Pimp A Butterfly ikiwa ni moja ya Album zenye mafanikio zaidi, mbali ya kupata nomination nyingi zaidi kwenye Tuzo zenye heshima zaidi za Muziki za Grammy, bali pia amefanikiwa kumteka rais Obama kuwa shabiki yake.

Akifanya mahojiano na jarida la People Mgazine, Raisi Obama amesema wimbo wa Kendrick Lamar ‘How Much A Dollar Cost’ ndio wimbo alioupenda zaidi 2015.

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s