Wiz khalifa, Drake na Kanye West ndio rappers walioongelewa zaidi kwenye mtandao wa Facebook mwaka 2015

Facebook imefanya tathmini yake ya mwaka mzima na kutaja rappers ambao wameongelewa zaidi kwenye mtandao huo.

kimye-kiss

Mbali ya kuwa hawajaachia album yoyote mpya, Ila Kanye west na Wiz khalifa ni moja ya watu walioongelewa zaidi kwenye mtandao wa Facebook, Kanye west ambaye aliachia singel ya ‘All day’ mwanzoni mwa mwaka ameongelewa zaidi kwenye mtandao huo ikiwa ni pamoja na ndoa yake na Kim Kardashian.

Upande wa Wiz khalifa mwaka 2015 umekuwa mzuri kwake hasa baada ya kuachiwa kwa wimbo wake wa See you again uliotumika kama soundtrack kwenye filamu ya ‘Fast & Fourious 7′, wimbo huo umeongoza kukaa muda mrefu namba moja kwenye chart kubwa za muziki, umeongoza kwenye chart ya Billboard hot 100 kwa wiki 12 mfululizo.

1401x788-469542904

Kuachia album yake ya ‘If you are reading this it’s too late’ kwa mtindo wa kushitukiza, Drake ameongia kwenye orodha ya watu walioongelewa zaidi kwenye mtandao wa Facebook, album hiyo ni moja ya album zilizouza kopi nyingi zaidi 2015, Pia bifu lake na MeekMill limeongelewa sana.

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s