Rapa J Moe, ameeleza kuwa mabadiliko yaliyotokea katika game ya muziki na kuwavuta wasanii kuwekeza katika video zaidi, yameondoa ubora katika kazi wanazofanya na pia kuvuta mashabiki katika kutazama video zaidi na siyo ubora wa rekodi yenyewe.

Rapa mkali wa Bongo Jay Moe

Jay Moe amesema kuwa, katika kiwanda cha burudani ya muziki kwa sasa, inawezekana kabisa kukutana mara nyingi na video ambayo mtu hajawahi kusikia rekodi yake kabla, kitu ambacho si sawa.

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s