Mitandao ya Nigeria yaripoti kuwa Agnes Masogange ana ujauzito wa Davido

Mrembo Agness Masogange anaweza kuwa mama kijacho wa mtoto wa staa wa muziki wa Nigeria, Davido.

Picha alizoziweka kwenye mtandao wa Instagram zimewapa wasiwasi wa Nigeria wa kudhani kuwa mrembo huyo wa Tanzania ni mama kijacho wa Davido ambaye amepata mtoto miezi michache iliyopita.

Mtandao wa Pulse wa Nigeria umeripoti kuwa Agnes ambaye ameonekana mara kwa mara na Davido ni mjamzito baada ya kuweka post inayoonesha kipimo ya ujauzito, Pulse wameandika

“In a series of videos shared by Agnes Masogange on Instagram a month ago, Davido and his entourage talked in Yoruba about having sex with Agnes Masogange and her friends, It seems something did go on that night based off Agnes Masogange’s latest Instagram posts.”

Hata hivyo Agnes ambaye alikua akiweka post mfululizo za Davido hata kubadilisha jina la Instagrm na kujiita Didi Baddest wiki chache zilizopita, ameweka picha nyingine ya utata na muigizaji wa filamu za Bongo, Rammy galis na hata kwenye picha ya kipimo cha ujauzito, Agnes ameandika ” @rammygalis @rammygalis I love you”

didi

Je, ni kweli Agnes ni mjamzito? ni wa nani, Davido au Rammy?

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s