Ojuelegba ni wimbo No12 bora zaidi duniani 2015,haikuhitaji sauti ya Drake,jarida la Fader lasema.

Wimbo wa WizKid ‘Ojuelegba Remix’ watajwa kuwa No 12 kwneye nyimbo bora za 2015 na jarida la Fader kwenye orodha ya nyimbo 107 bora za mwaka 2015.

IMG_5365

Wimbo huu wa ‘Ojuelegba Remix’ unasauti ya rapa Drake kutoka Marekani na  Skepta kutoka Uingereza.

Jarida la Fader limeandika haya kuhusu wimbo huu.

“Drake ameingia kwenye wimbo wa huyu msanii kutoka Nigeria na kuupa umaarufu zaidi Marekani, vesi ya Drake na Skepta zimeipendezesha zaidi “Ojuelegba” lakini ukweli ni kuwa wimbo huu tayari ulikuwa mkubwa sana Marekani na nchi zingine, wimbo unaujumbe mzuri wa shukurani na matumaini kuhusu nyumbani kwao”.

Bonyeza HAPA kuipata orodha kamili.

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s