Picha: Diamond na Mafikizolo waanza kushoot video yao mpya Afrika kusini, msanii mwingine wa Afrika kusini ameshirikishwa

Collabo ya msanii wa Afrika Mashariki, Diamond Platnumz na wasanii wakongwe wa Afrika kusini, Mafikizolo imeanza kunukia.

djmaphorisa-1450148629294

Video ya wimbo huo unaoitwa ‘Colours of Africa’ ambao pia msanii mwingine wa Afrika kusini, Dj maphorisa ameshirikishwa imeanza kushootiwa jana Afrika kusini. Memba wa kundi la Mafikizolo, Theo ameandika

“South africa (Mafikizolo) Dj maphorisa (South africa) Tanzania (Diamond Platnumz) collaborate in a song colours of africa, shooting a music video today”

djmaphorisa-1450148730946

 

djmaphorisa-1450148743622

Wimbo huo  ulirekodiwa tangu mwezi june mwaka jana 2014.

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s