Tuzo ya Clayton yamponza Ester

Msanii wa filamu Bongo, Ester Kiama hivi karibuni alijiponza baada ya kushambuliwa mtandaoni kisa kikiwa ni kumsifu muigizaji mwenzake wa kiume, Omary Clayton aliyeshinda tuzo ya kimataifa ijulikanayo kama California Online Viewers Choice.

ester4

Akipiga stori na gazeti hili, Ester alisema aliweka ujumbe na picha kwenye ukurasa wake wa Instagram kuipongeza filamu ya Dogo Masai kuchukua tuzo nje ya nchi sambamba na kumpongeza Omary, lakini kilichotibua hali ya hewa ni kupewa ‘makavu’ na wasanii wenzake kwa kuona anajipendekeza.

“Imeniuma sana yaani wasanii hatuna ushirikiano, niliamua kuposti picha kwa lengo zuri kwani wameipeperusha vema bendera yetu, kinyume chake nilipewa maneno makali ambayo sikuyatarajia maana najua sisi wasanii ni kitu kimoja,” alisema.

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s