Leo ni siku ya kumbukumbu ya kifo cha sajuki

Tasnia ya Filamu na Uigizaji pamoja wa Watanzania wote leo Januari 2, tunakumbuka pigo tulilopata miaka mitatu iliyopita baada ya kuondokewa na Mwigizaji Mahiri Juma Kilowoko maarufu kama Sajuki.

Sajuki kama ambavyo amekuwa akitambulika zaidi na wapenzi wa sanaa ya filamu na maigizo alifikwa na na umauti mapema asubuhi ya Jumatano, Januari 2, 2013 katika Hospital ya taifa ya Muhimbili alikokuwa anapatiwa matibabu.

Daima tunakukumbuka Sajuki.

 

sajuki (1)
sajuki (3)Kaburi la aliyekuwa Staa wa Bongo Movie, Marehemu Juma Kilowoko ‘Sajuki’WASTARASAJUKISajuki enzi za uhai wake akiwa na Mkewe, Wastara Juma.

 

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s