Pam D amaliza mwaka akiwa singo

Staa wa muziki nchini Pam D au Pam Daffa ambaye anaufunguaa mwaka na hit video song ‘PopoLipopo’ amesema kuwa ndani ya mwaka wa 2015 hakuwa na mahusiano yeyote ya kimapenzi zaidi kuwa singo tu.

<img src=”http://www.eatv.tv/sites/default/files/styles/detailpageimg/public/news/2016/01/01/pp.jpg?itok=9ygtxzOX” width=”490″ height=”735″ alt=”” />

Staa wa muziki nchini Pam D au Pam Daffa

Mwanadada huyo amekataa kata kata kuwa na mahusiano ila ameweka wazi kuwa kama Mungu akimjalia mwaka huu kupata mchumba basi itakuwa ni kheri kwake kwani yeye binafsi anatamani kufikia hatua hata ya kuwa na mtoto.

Aidha, Pam D akagusia pia kuhusiana na video ya kazi yake mpya iliyobatizwa jina ‘PopoLipopo’ inayotarajiwa kuachia mwanzoni mwa mwezi Januari 2016.

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s