Ndoa kwasasa bado sana – Samatta

Mshambuliaji wa TP Mazembe, Mbwana Ally Samatta amesema kwasasa ndoa bado kabisa.

<img src=”http://www.eatv.tv/sites/default/files/styles/detailpageimg/public/news/2016/01/05/samatta.jpg?itok=JPUhjIlG” width=”550″ height=”372″ alt=”” />

Mbwana Ally Samatta

“Nafikiri nitafanya hivyo pale nitakapokuwa nimetulia kidogo…kama nitakuwa ninacheza soka halitakuwa la ushindani sana wakati huo”.

“Unajua maisha ya wanasoka ni kutangatanga hautulii kabisa. Ningependa kufunga ndoa katika kipindi ambacho nimetulia” alimalizia mchezaji huyo ambaye kwasasa ana miaka 23, akielekea 24.

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s