JESHI LA POLISI KANDA MAALUMU YA DAR ES SALAAM LAENDESHA OPERESHENI KUNASA MAJAMBAZI

JESHI la polisi kanda maalumu ya Dar es salaam limesema linaendesha operesheni kali  ili kukabiliana na uhalifu wa aina mbalimbali  jijini.

p 2 c

Akizungumza na waandishi wa habari kamamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam Simoni Sirro amesema opereshenihiyo itahusisha ukamataji majambazi wa  wanaopora kwa kutumia pikipiki na waharifu wengine

na amewatahadharisha wananchi kutobeba kiasi kikubwa cha fedha kutoka benki bila kuwa na ulinzi.

 “kuna namna nyingi za kuhamisha fedha zikiwemo za kutumia mitandao ya simu,ni vizuri kutumia njia hizo kuliko kubeba fedha mkononi bila ulinzi”alisema Sirro.

Aidha, Kamishna Sirro amewataka wananchi wanaochukua fedha kwa kiasi kikubwa kutoka benki wasindikizwe na polisi ili kulinda usalama wao na mali zao

Pia ametoa rai kwa wananchi kuendelea kushirikiana na Jeshi la Polisi kwa kutoa taarifa za waalifu ili kuondoa wimbi la uhalifu linaloendelea kushamiri siku hadi siku.

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s