Chiba asema na wenye ulemavu

Kutoka Yamoto Band, msanii mpya anayeishika bendi hiyo kwa upande wa unenguaji licha ya ulemavu wa mguu alionao, Chiba ametoa wito kwa watu wenye ulemavu kujituma kiubunifu katika kufanya kazi, akiamini kuwa kuonesha kazi nzuri kunazaa mafanikio.

p

Chiba ametolea mfano wa yeye binafsi kujituma na kufanya kazi ambayo asilimia kubwa ya mashabiki wanaifurahia sasa, ambayo imetokana na jitihada zake binafsi akiwa sasa na nafasi ya kupanda katika majukwaa makubwa kuonyesha kipaji chake.

Chiba kupitia kazi yake ya unenguaji muda mrefu bila kuchoka jukwaani, amekuwa ni moja kati ya wasanii ambao majina yao yanaendelea kushika chati kwa kiasi kikubwa, akitarajiwa kufanya makubwa mwaka huu kwa upande wa unenguaji.

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s