Shilole,kuhusu kurekodi nyimbo Afrika Kusini,mahusiano yake na rapa Billnass,kuongeza tattoo.

Mwimbaji wa muziki wa bongo fleva anayeelekea kuwa msanii wa kimataifa Shilole ameweka wazi nipango yake iliyompeleka Afrika Kusini hivi karibuni.

Shilole anasema “Nilienda Afrika Kusini kufanya nyimbo na producer Mr Kamera na huko nikakutana na Dj Maphorisa, nimefanya wimbo tofauti ni club banger, tusubiri kuisikia soon“.

shilolee

Pia kuhusu mahusiano yake na rapa Bilnass na kwamba je ni wapenzi, Shilole amekanusha nakusema “Kila mwanaume naye mpost instagram watu wanadhani ni shemeji,sio kweli, mkimtaka shemeji nitamtaja”

shilolee 2

Hapa Shilole akiwa studio Afrika Kusini “Studio Time now with my no 1 engenear from #johannabasford @mrkamera 💰💰💳🎼🎤🎹🎻🎷📀 #sayMyNameShISHI $& ”

Kuhusu issue ya kuongeza tattoo kila wakati Shilole anasema ni kama majini, kila anapojiskia kuweka tattoo anashindwa kujizuia, hata Lil Wayne ana tattoo mpaka machoni.

shilolee-3

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s