NAIBU WAZIRI WA FEDHA NA MIPANGO MHE. DKT. ASHANTU KIJAJI AFUNGUA MKUTANO WA 25 WA MWAKA WA WADAU NA WANACHAMA WAMFUKO WA PENSHENI WA PPF,JIJINI DAR.

Naibu Waziri wa fedha na Mipango mh Ashantu  Kijaji amewataka wajiri wote walio jiunga na mfuko wa jamii wa PPF kuwasilisha michango   ya wafanya kazi wao   kwa wakati   na kuwa sajili wafanyakazi  wapya kwa mujibu wa sheria   vinginevyo watachukuliwa hatua za kisheria.

03

Naibu waziri ameyasemahayo  wakati akifungua mkutano wa wanachama wa PPF  jijini Dares saaam na ameongeza kuwa  mfuko huo nivema  sasa uangalie  maeneoneo mengine  ya uwekezaji  ikiwemo kilimo ili kuongeza zaidi mapato nwanachama wapya

Naye mkurugenzi  mkuu wa PPF  WILIAM ERIO  amesema  mfuko huo umendelea kuboresha  hudu ma  zake  kwa kuongeza  mafao  mbalimbali ikwemo fao la uzeeni ,uzazi, mikopo ya elimu , Afya,na kopa utimize   ndoto zako

11

Aidha waajiri wameagizwa kuwasilisha michango yao kwa wakati na kutuo mikataba na kuwaandikisha katika mifuko ya ifadhi ya jamiina wasipofanya hivyo wachukuliwe hatua za kisheria ili kuwawezesha waajiriwa wao kupata haki yao stahiki na huku wakisaidia mifuko hiyo kuweza kujiendesha vizuri.

Pia wameombwa kuwalipa wateja wao, kwani kumekuwa na hali mifuko mingi ya kijamii kutoa pesa ama pensheni kwa usumbufu na katika kipindi ambacho mteja yuko katika hatua za mwisho kabla ya matatizo ya  kupooza.

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s