MATOKEO YA KIDATO CHA NJE TAYARI, KIWANGO CHA UFAULU CHAPUNGUA

Baraza la mitihani la Taifa la Tanzania NECTA limetangaza matokeo ya kidato cha nne ambayo ni matokeo ya mithiani ambayo ilifanyika mwaka jana, huku kiwango cha ufauli kikipungua kwa takribani asilimia 1.85 kutoka asilimia 69.79 mwaka 2014 hadi asilimia 67.91 mwaka 2015.

msonde

Matokeo hayo yametangazwa leo na katibu mtendaji wa baraza la mitihani NECTA Dkt. Charlse Msonde mbele ya wandishi wa habari katika ofisi za baraza hilo ambapo alieleza namna ya amtokeo hayo mwaka huu yalivyoshuka na kutangaza hali ya ufaulu kwa mwaka huu ilivyoshuka.

Aidha Dkt. Msonde amesema kuwa mwaka huu katika matokeo hayo yametolewa katika mfumo wa madaraja kama ambavyo ilivyokuwa mika ya 2012 na kurudi nyuma na kuchilia mbali mfumo mpya ambao uliwekwa wa kuangalia GPA.

Kwa mwaka jana jumla ya watahiniwa wote ni 448,382 waliandikishwa kufanya mtihani huo wa kidato cha nne 2015 wakiwemo wasichana 229, 114 (51.10%) na wavulana 219,238 (48%) kati ya watahiniwa waliosajiliwa, watahiniwa wa shule walikuwa 394,o65 na watahiniwa wa kujitegemea walikuwa ni 54,317.

Kati ya watahiniwa 448,382 waliosajiliwa kufanya mtihani wa kidato cha nne 2015, watahiniwa 433 sawa na asilimia 3.29 hawakufanya mtihani.

Jumla ya watahiniwa 272,947 sawa na asilimia 67.53 ya watahiniwa waliofanya mtihani wa kidato cha nne 2015 wamefaulu. Wasichana waliofaulu ni 131,913 sawa na asilimia 64.84 wakati wakati wavulana waliofaulu ni 141,034 sawa na asilimia 71.09. mwaka 2014 watahiniwa

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s