TAMWA yasikitishwa na kesi za ubakaji/ulawiti kwa watoto kutohukumiwa

Chama cha wana habari wanawake Tanzania TAMWA kinalaani vikali ucheleweshwaji na upotoshwaji ushaidi wa kesi za vitendo vya ukatili wa kijinsia hasa ubakaji na ulawiti katika ngazi ya mahakama, polisi na baadhi ya madaktari katika hospitali mbalimbali nchini.

780149ddfa09fbd86eb140fe6810d770_XL

Akizungumza na waandishi wa habari katikia ofisi za TAMWA, mratibu wa kituo cha usuluishi TAMWA Gladness Munuo amesema mpaka hivi sasa kesi zilizolipotiwa ni 62 kesi 23 ziko mhakamani na kesi Zaidi ya 5 ushaidi hauonekani.

Aidha Gladness ameitaka serikali  kwa kutoa rai kama inataka kuwasaidia wananchi wake kuwapa afya njema na ulinzi mzuri basi iangalie vyombo vinavyosimamia haki za binadamu kwa kuwapa nguvu na usimamizi wa kutosha

Hata hivyo ameomba ushirikiano na vyombo vya habari katika kukemea na kutoa taarifa za ukatili wa kijinsia.

Pia Tamwa inaalani vitendo vya baadhi ya madaktari kujaza fomu za PF3 umri wa uongo na majina ya walalamikaji ambayo si ya kweli, ambapo ulitolewa mfano wa kesi ya motto wa miaka 9, fomu yake ilipotohswa ikaandikwa motto aliyebakwa alikuwa na umri wa miaka 19, ikaambatanishwa kwenye jalada lililokwenda kwa mwanasheria wa serikali, na kesi hiyo haikupelekwa mahakamani kwa kuwa ilikosa ushahidi.

Bofya hapo chini kusikiliza

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s