TWAWEZA: zaidi ya asilimia 88 ya wananchi wanaamini kuwa ahadi hiyo itatekelezwa

Taasisi ya utafit ya TWAWEZA  imetoa utafiti wake kuhusiana na Agizo la  Rais wa awamu ya tano John Pombe Magufuli yakutaka elimu  bure kuanzia elimu ya msingi hadisekondari ambapo imesema kuwa zaidi ya asilimia 88 yawananchi wanaamini kuwa ahadi hiyo itatekelezwa .

pix 1

Akisomamatokeo ya utafiti huo jijini Dar es salaam  Profesa Kitila Mkumboamesema kuwa katika utafiti huo uliofanywa katika mikoa mbalimbali yaTanzania bara na Zanzibar ambapo jumla ya watu 1,894 waliweza kuhojiwa katika utafiti huo,aslmia 89wakiri kulipa michango mashuleni kati yao asilmia 80 walilipa zaidi shilingi100,000 kwamwaka wakatiasilmia 80 walilipa shilingi 50,000kwa mwaka kama michango yashule.

8

Nao watalaam na wadau wa mambo  ya elimu kutoka ndani na nje ya nchi wamesema  serikali ya awamu ya tano nibora sasa ikaweka nguvu kubwa katika kusaidia chakula mashuleni  ili kuongeza uelewa wa wanafunzi ,amakuwashirikisha wazazi kata kucha ngia chakula  kuliko kuiachia serikari mzigo mkubwa wakuhudumia kilakitu.

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s