Mhadhiri aliyeigiza filamu chafu Uingereza ajiuzulu

Mhadhiri mmoja mashuhuri wa somo la kemia katika chuo kimoja kikuu nchini Uingereza amejiuzulu baada ya kugunduliwa kuwa amekuwa akiishi maisha mara mbili.

 141006104756_university_graduates_640x360_bbc_nocredit

Amekuwa akifunza kama Profesa na vilevile kuigiza kisiri katika filamu za ngono.

Profesa Nicholas Goddard, ambaye ana umri wa miaka 61, amekuwa akifunza katika Chuo Kikuu cha Manchester kwa miaka 25 na amechapisha vitabu na majarida kadhaa ya kimasomo.

Aligunduliwa na mmoja wa wanafunzi wake baada ya kumtambua katika filamu moja ya uigizaji wa ngono.

Nicholas Goddard, anasemekana kuwa alikuwa akiigiza kwa kutumia jina la utani “Old Nick” kwa zaidi ya miaka kumi.

Aliachana na uigizaji huo mwaka jana wa 2015

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s