Mwanamuziki mashuhuri Malawi afariki

Mwanamuziki mashuhuri wa nyimbo za Injili nchini Malawi Grace Chinga amefariki.

 160317111738_grace_chinga_512x288_gracechingafacebook

Rafiki wa karibu wa familia yake, Pasta Chris Suya, amenukuliwa na gazeti la gazeti la Nyasa Times la Malawi akisema mwanamuziki huyo alikimbizwa hospitalini baada ya kulalamikia maumivu makali ya kichwa.

“Tulipokea simu kwamba alikuwa anatatizwa na maumivu ya kichwa na tukakimbia kwake nyumbani mwendo wa saa moja jioni. Tulimpeleka hospitali ya Queens Elizabeth ambapo, alifariki.”

Kwa mujibu wa ujumbe katika ukurasa wake wa Facebook, mwanamuziki huyo alikuwa akijiandaa kuchomoa albamu mpya.

Raia wa Malawi wamekuwa wakituma salamu za rambirambi kwenye mitandao ya kijamii kumuomboleza.

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s