Harmonize asema haya kuhusiana kujihusisha na mambo ya kichawi ili kutoka kimuziki.

Msanii wa bongo fleva toka WCB,Harmonize amesema kamwe haamini kama kujihusisha na uchawi pamoja na ushirikina kunaweza kumsaidia msanii kutusua kimuziki.

Harmonize

Akihojiwa kwenye kipindi kimoja cha Tv msanii huyo amesema kuwa yeye anaamini Mungu na kipaji ndivyo vinaweza kumfanya mtu ang’are kisanii.

“Siamini kuwa uchawi una nafasi kubwa kwenye muziki,ingekuwa hivyo basi watoto wa waganga ndio wangekuwa wana hit peke yao,Mungu ndio kitu pekee cha kuamini pamoja na talent yako”

Source: The Base,ITV

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s