Kutana na sababu ambazo zinamfanya Jaffarai kutosikika sana katika muziki.

Rapper Jaffarai ambaye pia ni mmoja kati ya rappers wanaounda kundi la wateule amefunguka na kutaja mambo yanamkwamisha kufanya vizuri kwenye muziki kwa sasa tofauti na zamani.

Jaffarai

Rapper huyo amesema kutokwepo kwa kundi la wateule ni changamoto kwa sababu kuwa msanii binafsi kunakufanya ushike kila kitu peke yako na pia ushindani na usimamizi wa nyimbo kwenye promosheni

“unajua zamani ilikuwa ni rahisi zaidi kwa sababu tulikuwa tunafanya kazi kama kundi yaani wateule,lakini ukiwa msanii pekee yako ni ngumu vitu vyote inabidi ufanye mwenyewe tofauti na mwanzo tulikuwa tunashirikiana,pia siku hizi kutoa wimbo inahitaji mipango mikubwa,lazima uifuatilie sana” alisema Jaffarai

Source: Clouds

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s