Shirika la Global Peace Foundation Tanzania yawatakia Wazanzibar uchaguzi wa amani

Akiongea na mwandishi wetu, muwakilishi wa shirika hilo, Martha Nghambi ambae pia ni Mkurugenzi mkazi wa shirika hilo amesema Global Peace Foundation Tanzania inawapongeza Wazanzibari wote kwa utulivu walio uonyesha na pia wana wasihi waendelee kuitunza amani wakati wa uchaguzi na hata baada ya uchaguzi.

Global Peace Foundation Tanzania, ni taasisi isiyo ya kiserikali yenye makao makuu yake katika jiji la Washington DC, Marekani, na lina matawi yapatayo 20 duniani, ikiwemo Afrika, Ulaya, Asia na Marekani.

Tangu wafungue tawi lake Tanzania, katikati ya mwaka jana, wameonyesha juhudi kubwa katika kuhamasisha amani nchini.

 

Tarehe 12 March, Global Peace Foundation Tanzania walishiriki mkutano wa amani ulio andaliwa na viongozi wa dini mbalimbali, na baada ya mkutano huo walitoa tamko lao.

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s