Waziri akana kununua ‘Likes’ za facebook Colombia

Waziri mkuu wa Cambodia amekana kununua ‘likes’ bandia za ukurasa wake wa facebook ,baada ya kiongozi wa upinzani kumshtumu kwa kuongeza umaarufu wake.

 

Hun Sen mwenye umri wa miaka 63,anayejiita gwiji wa teknolojia huchapisha mara kwa mara kuhusu maisha yake katika mtandao wake.

Ukurusa wake ulioanza mwezi Septemba una takriban ‘likes’ milioni 3.2.

Wiki iliopita,iliripotiwa kuwa ‘Likes’ zake nyingi zinatoka katika akaunti za kigeni.

‘Likes’ nyingi zilitoka kutoka kwa akaunti za nchi za India {255,692} huku nyengine zipatazo {98,256}zikitoka Ufilipino,{46,368} zikitoka Myanmar na {46,368} zikitoka Indonesia na maeneo mengine.

160318111456_hun_sen_cambodian_prime_minister_640x360_reuters_nocredit

”Nimetambuliwa na raia wa India”.

Huku kukiwa na upinzani mkali,Hun Sen na kiongozi wa upinzani Sam Rainsy anayeishi ugenini ni washindani wakuu katika mitandao.

Wote wana matumaini ya kushinda idadi kubwa ya wapiga kura ambao mwaka 2013 walimpigia kura bwana Rainsy wa chama cha Cambodia National Rescue Party {CNRP} katika uchaguzi ambao wanasema ulikumbwa na udanganyifu.

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s