Sihitaji kiki za kolabo – Godzilla

Rapa Godzilla a.k.a King Zilla amesema hataki kolabo na mtu yoyote na taarifa ziwafikie kuwa kwa sasa anakuja na album mpya.

GOLDEN%20JACOB6

Godzilla alifunguka alipoongea na eNews na kusema ana uwezo wa kufanya kazi zake mwenyewe bila msaada wa msanii mwingine,

“Kwanini nipate usumbufu wa kumtafuta mtu wakati naweza kufanya kila kitu mwenyewe, hata chorus”. Alisema King Zilla

Hii ni mara ya pili Godzilla anatoa shombo kuwa hahitaji kubebwa na mtu yoyote ili kumng’arisha kwenye game na kuwa ana plan ya kurudi “on top of the game”, plan ambayo itaonekana zaidi kupitia album yake inayokuja soon.

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s