H_Art The Band wanusurika kifo.

Kundi la wasanii wa muziki kutoka nchini Kenya H_art The Band, wamenusurika ajali mbaya iliyotokea leo asubuhi.

HART-THE-BAND

Katika ukurasa wao wa instagram wasanii hao wamepost picha ya gari ambalo walikuwa wanatumia, huku wakiandika ujumbe wa kumshukuru Mungu kwa kuwanusuru kwa ajali hiyo.HART-THE-BAND-2

“Truly, God is our Healer & Our Protector. This morning we got into a grisly accident & we Thank the Lord that none of us got seriously injured but one thing for sure is, for that split second just as we thought it was our last God rescued us & reminded us that truly, if the Lord is With You then nothing can harm you. We maybe in pain but don’t worry, we are OK sisi ni maninja, we will survive. Thank you all who put us in your Prayers Daily they keeps us going through our day., may the Lord Bless you #JahBles”.

Waliandika wasanii hao wakimaanisha…….(Mungu kweli ndiye mponyaji wetu na mlinzi, asubuhi hii tulipata ajali mbaya na tunamshukuru Mungu kwani hakuna hata mmoja wetu aliyepata majeraha makubwa, jambo moja kwa hakika kwa ule mgawanyiko wa pili ndiyo ulikuwa wa mwisho Mungu kutuokoa na kutukumbusha kuwa kweli ukiwa na Mungu upande wako, hakuna kitakachokudhuru. Tunaweza kuwa kwenye maumivu lakini msijali, sisi ni maninja, tutaishi. Ahsanteni kwa wote ambao mnatuombea, maombi yenu yanatufanya tuzipitie siku zetu, Mungu awabariki)

Wasanii hao ambao wametamba sana na kibao chao cha uliza kiatu na Nikikutazama, kwa sasa wako kwenye ziara ya kimuziki kutangaza wimbo wao mpya wa Baby Love.

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s