Huwezi kuachana na rafiki.- Ali Kiba

Msanii Ali Kiba amefunguka kuhusu suala la ndoa na mwanamitindo maarufu hapa Bongo Jokate Mwegelo, ambaye inasemekana yupo naye kwenye mahusiano ingawa mwenyewe anakanusha.

JOKATE44

Akiongea kwenye kipindi cha eNews kinachorushwa na East Africa Television, Ali Kiba amesema siku hizi watu wanasahau na kudharau waliyokuwa wakiyafanya wazee wetu katika kuchagua mke wa kuoa.

“Unajua siku hizi watu wanasahau kuwa wazee wetu walikuwa wanachagua vipi msichana, siku hizi tunaoana tu, unaishi nae miaka mitatu, lazima muwe marafiki, hivyo ni vigumu kuachana na rafiki, ila ni rahsi kuachana na mpenzi wako”, alisema Ali Kiba.

Pia ameendelea kusisitiza kuwa yeye na Jokate ni marafiki tu na sio wapenzi kama watu wengi wanavyodhani na kuibua maswali yenye utata kuhusu kauli yake ya kwanza aliposema “Unapooa, lazima muwe marafiki na huyo mwandani wako, ili kudumisha ndoa yenu”.

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s