Sihitaji mtu mpaka nitakufa – Godzilla

Msanii Godzilla amesema kwa sasa hatofanya kolabo na msanii yeyote, kwani haja ya kushirikisha mtu kwenye kazi zake.

1450880740_2332_b

Godzila ameyasema hayo alipokuwa akiongea kwenye kipindi cha Planet Bongo kinachorushwa na East Africa radio, na kusema kuwa ameamua kufanya hivyo kwani hataki usumbufu na msanii yeyote wakati wa kufanya kazi zake.

“Zilla ana ndoto za kufanya kazi na zilla miaka yote hii, jambo la kwanza sitaki disapointment kwenye kazi yangu, mziki unahitaji uhuru, mziki unahitaji muda, unahitaji utulivu wa akili, nikifanya kazi na wewe kukutafuta nikuhitaji tena kwa namna moja au nyingine itanigharimu, I dont need people till I die, with any body labda itokee tu, si matusi si dhambi, kila binadamu ana choice zake za life”, alisema Godzilla.

Pia Godzilla amesema kwa kufanya hivyo kutaweza kumsaidia kukaza zaidi kwenye game, na kuzidi kufanya vizuri kwa kazi zake mwenye bila kumtegemea mtu.

“Sanaa yangu nitakuwa nastrugle, naweza kuimba, naweza kurap, naweza kufree style, nimetengeneza hit song hadi za kuimba peke yangu, nahitaji kolabo ipi tena, nahitaji kolabo na mimi, sitaki kuwa mtumwa, yani ukiwa na sanaa nzuri hewani hutakiwi kuwa mtumwa, na hiyo inakuongezea utafutaji mara mbili, kwamba si nimefanya kazi hii sina kolabo sina nini, kwa hiyo muhimu hii kazi iende kwahiyo ukiwa studio hubweteki”, alisema Godzilla.

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s