Master card foundation watoa tuzo na kuzindua shindano jipya.

shirika linalojihusisha na maendeleo vijijini lijulikanalo kama master card foundation, fund for rural prosperity, leo limetoa tuzo kwa kampuni tano yenye thamani ya dola za kimarekani millioni 10 ili kuimarisha kazi zao za ubunifu ili kupunguza umaskini kwa kuongeza upatikanaji wa huduma za kifedha kwa watu maskini wanaoishi vijijini barani Africa.

DSCF9230

Akizungumza na waandishi wa habari katika ukumbi wa habari maelezo mwanzilishi wa shirika hilo bw. Gabriel Kavuti amesema kuwa shindano ilo litawaongezea kipato kwa wananchi waishio vijijini ili kuweza kushindana shindano hilo.

Baadhi ya makampuni ambayo yatapokea Zaidi ya dola za kimarekani milioni 10.6 chini ya mfuko kwa ajili ya maendeleo vijijini katika shindano la mwaka jana ni pamoja na APA insuarance ltd, finserve Africa ltd/Equitel, M-Kopa LLC, Musomi Kenya ltd, Olam Uganda ltd.

Kutokana na tuzo hizo lizizotangzwa leo, takribani watu milioni nane wanaoishi maeneo ya vijijini nchini kenya, Tanzania na Uganda rasmi watakuwa na fursa ya kupata huduma za kifedha ifikapo mwaka 2020. upatikanaji wa huduma za kifedha umeonyesha kuboresha maisha ya watu kupitia upatikanaji wa afya, elimu na fursa za ajira.

 

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s