Nuh Mziwanda adai kitendo cha kumfumania Shilole na Madee kilimuumiza

Nuh Mziwanda ameelezea moja ya sababu za kuachana na aliyekuwa mpenzi wake, Shilole. Nuh Mziwanda amedai aliwahi kumfuma na Madee hotelini.

Akizungumza kwenye kipindi cha Ala za roho, Nuh mziwanda, alikataa kuthibitisha moja kwa moja tukio hilo lakini mtangazaji wa kipindi icho, Diva alivyomkaba Nuh alifunguka kuwa anawaheshimu Madee na Shilole japo kitendo icho kilimuumiza sana.

mad

Hizi ni baadhi ya comments za Mashabiki,

goldenhubylov – madee muombe nuhu msamaha maana umefanya kaachana na mpenzi wake na ww ukasepa. that aint fair madee. mademu wapo wangap dunia nzima. nuhu ni kama mdogo wako. tena nuhu na janja hawajapshana sana umri basi inaelekea utakuja kumpigia na janja Demu wake. ila madee Trust me. usipomuomba nuhu msamaha hii itakurudia. what goes arround?

goldenhubylov – mm ninachoelewa ni bora kaka akapigiwa demu na mdogo mtu kuliko mdogo mtu kupgiwa na kaka. sio poa kama ni kweli.

chilro__ –Kumbeee ndo mana dah inauma sana @madeeali kala mzigo? Ndo mana nasemaga bora uniache kisa sina pesa sio mechi @iam_mziwandapole ndo hvyo tena

lulu_officiall_page – Hongera sana nuhu kwa wimbo wako mpya ni mzurii sanaa pia hongera kwa kuwa na moyo Wa chuma kuishi na MTU asiyejielewa ni shidaa sana

Muimbaji huyo wa ‘Jike Shupa’ amesema kwasasa hataki kuongelea mahusiano yake kwenye media kwasababu inafanya watu wanasahu muziki wake.

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s