Diamond Platnumz achaguliwa kuwania tuzo za BET 2016,

Bongo fleva super staa Diamond Platnumz amechaguliwa kuwania tuzo za BET 2016 kutoka kwenye kituo kikubwa na maarufu cha Tv nchini Marekani cha BET.

Kwenye Kipengele cha Diamond ni Best International Act ‘Africa’ anawania na mastaa hawa…

Best International Act Africa
AKA (SOUTH AFRICA)
BLACK COFFEE (SOUTH AFRICA)
CASSPER NYOVEST (SOUTH AFRICA)
DIAMOND PLATNUMZ (TANZANIA)
MZVEE (Ghana)
SERGE BEYNAUD (COTE D’IVOIRE)
WIZKID (NIGERIA)
YEMI ALADE (NIGERIA)

BET-2

Huu umekuwa ujumbe wa kwanza wa Diamond Platnumz baada ya kuchaguliwa kuwania tuzo za BET 2016 nchini Marekani. BET ni kituo cha Tv kikubwa duniani.  

Diamond ameshukuru mashabiki zake kwa ushirikiano wao mpaka yeye kuchaguliwa kuwania tuzo kwenye kipengele cha Best international Act Africa,haya ndio maneno yake >>>Jus wanted to thank you for your Major Support and let you know that have been nominated for #BETAwards as the Best international Act Africa…. Ningependa niwashukuru kwa Sapoti kubwa Manayozidi kunipa na niwajuze kuwa kijana wenu nimechaguli kuwania tunzo ya Msanii Bora wa Kimataifa toka Africa kwenye tunzo za BET #BETAwards America @BET_Africa@BET_intl

Diamond Platnumz

 

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s