Afungwa kwa kutunga shairi kwenye uume wake Myanmar

Mwaandishi mmoja nchini Myanmar amehukumiwa kifungo cha miezi sita jela, baada ya kutunga shairi kwa kuchora sura ya Rais wa zamani wa Myanmar, Thein Sein kwenye uume wake.

151115150625_u_thein_sein_640x360_bbc_nocredit

Maung Saungkha amehukumiwa kwa kosa la kumharibia mtu sifa mtandaoni baada ya kuchapisha shairi hilo katika mtandao wake wa kijamii wa Facebook.

Sasa akifahamika kama “penis poet”, mtu huyo mwenye umri wa miaka 24 ataachiliwa huru baada ya kutumikia kifungo hicho cha miezi sita gerezani.

Mamlaka kuu nchini Burmer, inaendelea kuwafunga raia wake jela kwa kutoa maoni kwenye mitandao ya kijamii, ambayo yanaikosoa serikali hiyo.

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s