Carneiro aafikia makubaliano na Chelsea

Aliyekuwa daktari wa klabu ya Chelsea Eva Carneiro, ameafikia makubaliano kuhusu kutimuliwa kwake kutoka kwa klabu, nje ya mahakama.

150923122314_eva_carneiro_640x360_pa_nocredit

Dr Carneiro alikuwa amepinga kutumuliwa kwake na alikuwa amchukulie hatua za kisheria meneja wa zamani Jose Mourinho.

 
 

Siku ya Jumatatu ilibainika kuwa Chelsea ilikuwa imempa Dr Carneiro pauni milioni 1.2 kusuluhisha swala hilo jambo ambalo alilikataa.

Chelsea ilisema kuwa inajutia kisa kilichosababisha daktari wake wa kwanza kuhama klabu hiyo.

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s