Waliougua saratani ya matiti kutibiwa miaka 10

 

Utafiti mpya umebaini kuwa wanawake ambao wamewahi kuugua saratani ya matiti huenda wakanufaika na chembechembe zinazozuia ugonjwa huo kwa muda mrefu zaidi kuliko muda wa sasa wa miaka mitano.

Utafiti huo uliofanywa na wanasayansi kutoka Marekani na Canada umebaini kuwa kutumia dawa hizo kwa miaka kumi badala ya mitano unapunguza uwezekano wa saratani hiyo kurejea kwa theluthi moja.

Visa vingi vya saratani ya matati husababishwa na homoni za kike zinazofahamika kama ‘Oestrogen’ na dawa za kuzia homoni hizo hutumia sana.

Watafiti hao wanasema matokeo ya utafiti huo huenda yakabadili matibabu kwa mamilioni ya wanawake.

Watafiti hao pia wameonya kuwa dawa za kuzuia homoni hiyo zinaathari kubwa kama kuvunjika kwa mifupa na kukosa hamu ya kujamiana.

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s