Lil wayne atoa msukumo kwa hotuba ya Clinton

Mashabiki wa mwanamuziki wa Marekani Lil Wayne wamekuwa wakidai kwamba huenda maneno ya wimbo wa msanii huyo yalitoa msukumo kwa hotuba ya bi Hillary Clinton.

160730154728_lil_wayne_clinton_640x360_bbc_nocredit

“When there are no ceilings, the sky’s the limit,” {Iwapo hakuna paa la nyumba basi ,kikomo ni mbingu},Clinton aliliambia kongamano la chama cha Democrat.

Alikuwa akizungumza baada ya kukubali tiketi ya kuwania urais kupitia chama cha Democrat.

Mashabiki wa msanii huyo wa muziki wa rap sasa wamezua uvumi katika mtandao wa Twitter wakipendekeza kuwa huenda ameshinikizwa na wimbo huo unaosema kuwa iwapo hakuna paa kikomo ni mbingu.

Hakujakuwa na tamko lolote kutoka kwa Hillary Clinton ama timu yake lakini Lil Wayne amekuwa akihusisishwa.

Amewaambia maripota kwamba yeye hana tatizo lakini akakiri kwamba hajaiona hotuba hiyo.

Baadaye alichapisha ujumbe wa kumuunga mkono mgombea huyo wa urais.

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s