Global Peace Foundation Tanzania yawasihi vijana kulinda amani

Shirika la Global Peace Foundation Tanzania limewataka vijana kushiriki kikamilifu katika kuilinda na kuwa chanzo cha Amani katika nchi ya Tanzania.

_DSC0890

Hayo yamezungumza na Martha Nghambi, Mkurugenzi Mkazi jana katika kituo cha afya cha Tandale ambapo kulikuwa na warsha ambayo iliandaliwa na Global Peace Foundation pamoja na Tandale Youth Development Center huku akisisitiza kama vijana ambao wanatarajia kuwa wazazi wa baadae wawe mifano ya kuigwa.

_DSC0914
Aidha alielezea jinsi gani wao kama Global Peace Foundation Tanzania wamejikita kuendeleza kampeni yao ijulikanayo kama “Vijana na Amani” ambayo iliaanzishwa rasmi mwezi wa nne mwaka huu 2016, yenye lengo kuu ya kuhamasisha vijana kujiepusha na vitendo vyote vya uvunjifu wa amani na badala yake kuwa mabalozi wazuri wa amani.

WhatsApp-Image-20160801

Muwakilishi kutoka Tandale Youth Development Center,Bwana Gilbert Mkoka, akifundisha Vijana jinsi ya kusimamia na kupigania ndoto zao

GLOBAL PEACE FOUNDATION (4)

Vijana hao pia walipata fursa ya kuelimishwa juu ya stadi za maisha na vilevile kufafanuliwa juu ya  sera ya taifa ya maendeleo ya vijana wa ki Tanzania, maelezo hayo yote yalitolewa  na Mratibu wa Program ya Vijana, wa Global Peace Foundation, Ndugu Badru Juma Rajabu

_DSC0934

_DSC0893_DSC0938

WhatsApp Image 2016-08-01 at 8.39.32 AM

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s