Nandy amekiri alirekodi ile video yeye na si Bill Nas

Siku ya April 12,2018 video ambayo ilichukua headlines katika mitandao ya kijamii ni video ikiwaonyesha Nandy na Bill Nas wakiwa mapenzini na mashabiki kuachia comments zao juu ya video hiyo.

Kupitia instagram account ya Nandy alionekana kuomba radhi kwa mashabiki na watu wake wote wa karibu kutokana na video hiyo iliyosambaa katika mitandao ya kijamii na pia leo April 13,2018 Nandy amezidi kuomba radhi kwa kilichotokea ila kwa upande wa Bill Nas hajaongea chochote mpaka sasa.

Kiukweli niko katika wakati mgumu wa maisha yangu.. jana sikuwa sawa ila leo nimeweza hata shika simu yangu najua matusi yote na fedhea kutoka kwa mashabiki wangu ni sababu wanaamini hili ni kusudio letu au langu hii video iwe public naapa na naumia sana sana kwa hili lilitokea!!! sihusiki na kusambaza video wala siwezi ruhusu kitu kama hichi kitokee kwenye maisha yangu ya usanii hata ya kawaida”

“Sitakiwi kujieleza sana ila naamini nikiandika hili nitakaa na amani kwa ambaye ataamuaa kuendelea kunihukumu aendelee tu kunihukumu kwani kweli nimekosea ila ajiulize kama yeye hajawahi kukosea!” -Nandy

“Mambo yetu wote ya private yanatakiwa kubaki private, aliyeyatoa amefanikiwa kuleta hii taharuki, sintofahamu na maumivu makubwa ambayo sijawahi kupata maishani mwangu. ila Naamini sababu kuu ya hii video kuwa out ni mambo ya simu zetu ambayo inaweza kumtokea mtu yoyote!!” -Nandy

“Nilibadili simu yangu mara 2 toka 2016 na Bilnas aliibiiwa simu yake huko nyuma, kwa mujibu wake, so hatujui mpaka sasa imetoka kwa simu ya nani? maswali ni mengi matusi ni mengi simu na sms ni nyingi mnoo… naumiaa naumiaa kupita kiasi.” -Nandy

 

Nandy ameonekana kwenda BASATA ili kuweka mambo yake sawa kutokana na video yake na Bill Nas kusambaa katika mitandao ya kijamii ambapo pembeni yake akiwa na Katibu Mtendaji Godfrey Muingereza na vingozi wengine.

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s