Category Archives: Habari za Kimataifa

Mama afungwa maisha kwa kumlinda mbakaji

Mwanamke mmoja mwenye umri wa miaka 25 ambaye ni raia wa Afrika Kusini, amehukumiwa kwenda jela maisha kwa kosa la kumlinda mbakaji wa mtoto wake mwenye umri wa miezi miwili, na mahakama kuu ya Johanesburg.

Continue reading Mama afungwa maisha kwa kumlinda mbakaji

Advertisements

Rais asaini sheria ya pedi bure kwa wanafunzi

Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta amesaini muswada wa sheria ambao sasa utakuwa kamili, inayoitaka serikali kugawa pedi bure kwa wanafunzi wa kike nchini humo.

Continue reading Rais asaini sheria ya pedi bure kwa wanafunzi

Stormy Daniels: Mwigizaji video za utupu adai alitishiwa kuhusu madai ya kushiriki ngono na Donald Trump

Mwigizaji wa video za utupu Stormy Daniels, ambaye jina lake halisi ni Stephanie Clifford, amesema alitishiwa na kutakiwa kukaa kimywa kuhusu kufanya tendo la ndoa na Donald Trump mwaka 2006. Continue reading Stormy Daniels: Mwigizaji video za utupu adai alitishiwa kuhusu madai ya kushiriki ngono na Donald Trump