Category Archives: Jamii

FORMER ZANZIBAR PRESIDENT KARUME, EAST AFRICA LEADERS TO CONVENE AT GREAT LAKES REGION PEACE AND DEVELOPMENT SUMMIT IN UGANDA

On the invitation of President of the Republic of Uganda, H.E Yoweri Museveni, Former Zanzibar President H.E Dr Amani Abeid Karume will join a delegation of East African leaders to explore regional peace and security issues and discuss innovative approaches that will improve economic opportunity, advance excellence and equality in education, increase youth productivity, support women’s empowerment, and address critical community development needs at a convening of regional leaders in Kampala of August 1-2, 2018. Continue reading FORMER ZANZIBAR PRESIDENT KARUME, EAST AFRICA LEADERS TO CONVENE AT GREAT LAKES REGION PEACE AND DEVELOPMENT SUMMIT IN UGANDA

Advertisements

“Tutakutangaza hadharani mkeo ajue” – Paul Makonda

Paul Makonda amefunguka na kusema wanaume ambao wamewazalisha wanawake na kuwatelekeza bila kuwapa matunzo pindi watakapoitwa wakikaidi wito huo kwa lengo la kulinda ndoa zao basi watawatangaza hadharani ili wake zao wajue wana watoto nje ya ndoa.

Continue reading “Tutakutangaza hadharani mkeo ajue” – Paul Makonda

MAKONDA ATOA MISAADA KWA WAJAWAZITO WATAKAOJIFUNGUA PASAKA

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda leo ametoa zawadi ya vifaa tiba vya Mama mzazi kwaajili ya kujifungulia (Delivery Packs) 200 vyenye thamani ya zaidi ya shilingi million 20 Kama zawadi yake ya sikukuu ya pasaka kwa kinamama watakaojifungua kwenye msimu huu wa pasaka. Continue reading MAKONDA ATOA MISAADA KWA WAJAWAZITO WATAKAOJIFUNGUA PASAKA

MFANYABIAHARA AUAWA, ATUPWA KISIMANI

WIMBI la kuuawa na kisha miili kutupwa kwenye vi­sima vya maji wilayani Bu­tiama limezidi kuongezeka baada ya mfanyabiashara mmoja, mkazi wa Kijiji cha Busirime, kata ya Butuguri wilayani Butiama mkoani Mara, Charles Magesa (31) kukutwa mwili wake ukiwa unaelea ndani ya maji katika kisima kilichopo kando ya nyumba moja ya kulala wageni iliyopo katika Kijiji cha Isaba kata ya Buruma, Butiama. Continue reading MFANYABIAHARA AUAWA, ATUPWA KISIMANI