Category Archives: Nyumbani

Kiama cha makocha wa VPL chaanza

Ikiwa ni takribani siku mbili tangu aliyekuwa kocha wa Yanga Mzambia George Lwandamina, aachane na klabu hiyo na kurejea kwenye timu yake ya zamani Zesco United, Mbao FC nayo imemfuta kazi kocha wake Etienne Ndairagije.

Continue reading Kiama cha makocha wa VPL chaanza

Advertisements

Yanga Mambo Magumu Mabosi Wakutana Usiku Kumjadili Lwandamina

KAMATI ya Utendaji ya Yanga, juzi usiku ilikutana haraka kujadili suala kuondoka kwa kocha wao Mzambia, George Lwandamina aliyejiunga na Klabu ya Zesco United ya nchini huko. Continue reading Yanga Mambo Magumu Mabosi Wakutana Usiku Kumjadili Lwandamina