Category Archives: Utafiti

Haya Hapa Ndio Makosa ya Mwanaume Yanayosababisha Mke au Mchumba Amsaliti

Kuna sababu anuai zinazomfanya mwanamke amsaliti mumewe. Ni muhimu kutambua kuwa mwanamke ni kiumbe mwenye hisia kali na daima ahisi raha na amani. Baadhi ya nyakati hufanya usaliti ili kuziba pengo la upungufu unaotokea katika maisha yake. Zifuatazo ni sababu kubwa ambazo zinamfanya amsaliti mumewe: Continue reading Haya Hapa Ndio Makosa ya Mwanaume Yanayosababisha Mke au Mchumba Amsaliti

Advertisements

Utafiti asilimia 80 wataka uhuru kumkosoa Rais

Utafiti uliofanywa na taasisi ya TWAWEZA na kuripotiwa leo Machi 29, 2018 umedai kuwa asilimia 80 ya wananchi wanataka wawe huru kumkosoa Rais katika mambo ambayo anafanya ndani ya nchi.

Continue reading Utafiti asilimia 80 wataka uhuru kumkosoa Rais