Tag Archives: George Lwandamina

Yanga Mambo Magumu Mabosi Wakutana Usiku Kumjadili Lwandamina

KAMATI ya Utendaji ya Yanga, juzi usiku ilikutana haraka kujadili suala kuondoka kwa kocha wao Mzambia, George Lwandamina aliyejiunga na Klabu ya Zesco United ya nchini huko. Continue reading Yanga Mambo Magumu Mabosi Wakutana Usiku Kumjadili Lwandamina

Advertisements

Tetesi za Lwandamina kuibwaga Yanga

Klabu ya Yanga hadi sasa haijaweka wazi ukweli kuhusu kuondoka kwa kocha wake mkuu, Mzambia George Lwandamina baada ya jana kusambaa kwa habari kuwa kocha huyo amerejea kwenye klabu yake ya zamani ya Zesco United FC.

Continue reading Tetesi za Lwandamina kuibwaga Yanga