Tag Archives: Ligi Kuu Tanzania Bara

Kiama cha makocha wa VPL chaanza

Ikiwa ni takribani siku mbili tangu aliyekuwa kocha wa Yanga Mzambia George Lwandamina, aachane na klabu hiyo na kurejea kwenye timu yake ya zamani Zesco United, Mbao FC nayo imemfuta kazi kocha wake Etienne Ndairagije.

Continue reading Kiama cha makocha wa VPL chaanza

Advertisements

Vita ya Ubingwa na kushuka daraja leo

Ligi kuu ya soka nchini VPL inaendelea leo kwa mchezo mmoja kupigwa kwenye Uwanja wa Sabasaba mkoani Njombe kati ya wenyeji Njombe Mji dhidi ya Simba SC, ukiwa ni mchezo wa kusaka ubingwa kwa Simba na kukwepa kushuka daraja kwa Njombe Mji.

Continue reading Vita ya Ubingwa na kushuka daraja leo