Tag Archives: Prof. Lipumba

Wanausalama wa Prof Lipumba Wawapiga Mkwala ‘Wafuasi’ wa Seif

Mkurugenzi wa Usalama wa Chama cha Wananchi (CUF), Masoud Mhina, akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo mchana, kuhusu madai ya hujuma zinazopangwa kufanywa dhidi ya chama hicho. Kushoto ni Ofisa Dawati wa CUF, Awadhi Mdoe.

Continue reading Wanausalama wa Prof Lipumba Wawapiga Mkwala ‘Wafuasi’ wa Seif

Advertisements