Tag Archives: Sevilla

Sevilla wavunja mwiko wa miaka 60

Baada ya ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Manchester United klabu ya Sevilla imefanikiwa kutinga hatua ya robo fainali kwa mara ya kwanza tangu ifanye hivyo mara ya mwisho miaka 60 iliyopita.

Continue reading Sevilla wavunja mwiko wa miaka 60

Advertisements

Man Utd 1-2 Sevilla: Jose Mourinho asema klabu hiyo kuondolewa UEFA si jambo geni

Meneja wa klabu ya Manchester United Jose Mourinho amesema hatua ya klabu hiyo kutupwa nje ya michuano ya Ligi ya Klabu Bingwa Ulaya katika hatua ya 16 bora “si jambo geni” kwa klabu hiyo na si mwisho wa dunia. Continue reading Man Utd 1-2 Sevilla: Jose Mourinho asema klabu hiyo kuondolewa UEFA si jambo geni