Tag Archives: Thiago Silva

”Brazil inastahili heshima” – Thiago

Mlinzi wa timu ya taifa ya Brazil, Thiago Silva, amesema Brazil inahitaji heshima zaidi duniani na sio kubezwa kwasababu ilipoteza kwa mabao 7-1 dhidi ya Ujerumani kwenye fainali za Kombe la Dunia 2014 nchini Brazil.

Continue reading ”Brazil inastahili heshima” – Thiago

Advertisements