Tag Archives: Ubakaji

Mama afungwa maisha kwa kumlinda mbakaji

Mwanamke mmoja mwenye umri wa miaka 25 ambaye ni raia wa Afrika Kusini, amehukumiwa kwenda jela maisha kwa kosa la kumlinda mbakaji wa mtoto wake mwenye umri wa miezi miwili, na mahakama kuu ya Johanesburg.

Continue reading Mama afungwa maisha kwa kumlinda mbakaji

Advertisements

Mwanafunzi kidato cha kwanza abaka na kuua

Mwanafunzi wa kiume mwenye umri wa miaka 15 ambaye alikuwa anasoma kidato cha kwanza shule ya sekondari Gituto katika kaunti ya Murang’a nchini Kenya, ameuawa na wananchi wenye hasira kali, baada ya kubainika kumbaka binti mwenye umri wa miaka 12 na kisha kumnyonga.

Continue reading Mwanafunzi kidato cha kwanza abaka na kuua