Tag Archives: Wizara ya Habari Sanaa na Michezo

Waziri Mwakyembe afanya uteuzi

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe amemteua Mhandisi Dkt. Richard Joseph kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya chuo cha michezo Malya.

Continue reading Waziri Mwakyembe afanya uteuzi

Advertisements

Waziri Mwakyembe awa ‘Mbogo’ sakata la wasanii

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe amefunguka na kuwataka baadhi ya Wabunge Bungeni kuacha kuwatetea wasanii wanaoimba nyimbo zisizokuwa na maadili kwa kuwa kufanya hivyo kuna pelekea kuonekana taifa la Tanzania kuwa mfu lisilokuwa na utamaduni wake.

Continue reading Waziri Mwakyembe awa ‘Mbogo’ sakata la wasanii

Kanuni za Mitandao, Radio na Televisheni Tanzania Zatangazwa

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harisson Mwakyembe (Mb) ametangaza rasmi kanuni mbili za Sheria ya Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta (EPOCA) ya Sura namba 306 ya mwaka 2010, katika gazeti la Serikali namba 133 (GN.No.133) na 134 (GN.No.134) zilizochapishwa tarehe 16/03/2018. Continue reading Kanuni za Mitandao, Radio na Televisheni Tanzania Zatangazwa

Waziri Shonza: Nimesikia Malalamiko ya Daimond Mimi Siwezi Kujibizana Naye

Naibu Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Juliana Shonza, amesema amesikia malalamiko ya mwanamuziki Diamond lakini hawezi kumjibu kwa sababu zipo taratibu za kufuata kama anaona hajatendewa haki. Continue reading Waziri Shonza: Nimesikia Malalamiko ya Daimond Mimi Siwezi Kujibizana Naye