Tag Archives: Wizara ya Nishati

Serikali yatoa sababu za kukatika kwa umeme

Serikali ya awamu ya tano kupitia Wizara ya Nishati imefunguka na kudai kukatika kwa umeme mara kwa mara kunatokana na sababu nyingi na wala sio kutokuwepo kwa umeme au miundo mbinu pekee yake kama baadhi ya wananchi wanavyokuwa wanafikilia.

Continue reading Serikali yatoa sababu za kukatika kwa umeme

Advertisements