Tag Archives: Yanga Sc

Yanga Mambo Magumu Mabosi Wakutana Usiku Kumjadili Lwandamina

KAMATI ya Utendaji ya Yanga, juzi usiku ilikutana haraka kujadili suala kuondoka kwa kocha wao Mzambia, George Lwandamina aliyejiunga na Klabu ya Zesco United ya nchini huko. Continue reading Yanga Mambo Magumu Mabosi Wakutana Usiku Kumjadili Lwandamina

Advertisements

”Lazima tuikamie Yanga” – Singida United

Klabu ya soka ya Singida United ambayo imepanda ligi kuu msimu huu baada ya kushuka daraja misimu mingi iliyopita, imesema ni lazima kuikamia Yanga ili waweze kupata ushindi kwani ni jambo la kawaida michezoni.

Continue reading ”Lazima tuikamie Yanga” – Singida United